Wednesday, March 4, 2015

NTOKOZO MBAMBO AREKODI ALBUM MPYA YA LIVE

Mwimbaji wa nyimbo za injili nchini Afrika ya Kusini Ntokozo Mbambo ambaye alijipatia umaarufu mkubwa kupitia kundi kubwa la muziki wa injili nchini humo la Joyous Celebration, amefanikiwa kurekodi album yake mpya siku ya tarehe 28.2.2015. Ntokozo ambaye hufanya kazi za injili kwa kushirikiana na mume wake Mr Nqubeko Mbatha ambaye pia alikuwa Music Director wa kundi hilo la Joyous Celebration kabla ya kuamua kufanya kazi zao binafsi, wameweza kufanikisha recording hiyo kwa kushirikiana na kampuni ya KOKO Music ambao ndiyo walio simamia album ya Ntokozo iliyopita ya FILLED na ikafanya vizuri sokoni


Watu wengi walijitokeza kununua tiketi za event hiyo nakusababisha tiketi kuisha siku chache kabla ya event yenyewe. Hiyo inaonyesha nikwajinsi gani anayokubalika na watu wengi hasa barani Africa.


Kama wadau tutazidi kumuombea ili kazi yake ya kumtumikia Mungu iweze kusonga mbele.

Na pia tunasubiri kwa hamu DVD itoke ili tuendelee kumuadhimisha Bwana kupitia nyimbo mpya za mwimbaji huyo.


Hizi ni baadhi ya picha za tukio

 

 

Ntokozo akiwa kwenye uwepo wa Mungu 

 

 

The stage

 

Recording ikiendelea... 

 

Ntokozo Mbambo 

its me: Souzy Rajab

           C.E.O SORAMA visions



Tuesday, October 14, 2014

KUTANA NA JACKLINE WOLPER MSANII ANAEPENDA FASHENI

 


 


  


  


 


  




 


  


 




 


 


Mpenzi msomaji wa blog hii, nimefanya hivi ili kukuvutia na wewe kuwa unaweza ukawa mbunifu wa wa aina yoyote ile mavazi, uandishi, uimbaji, uigizaji, biashara na vinavyo fanana na hivyo na ukaanikiwa ki maisha.

 

Its me SORAMA visions C.E.O



Monday, October 6, 2014

UNAMFAHAMU HUYU?

                               bb 
                                    Anaitwa Jackie Appiah actress kutoka Ghana
                       habari zake zaidi zitakujia hivi karibuni, endelea kuwa nami.

                                    fd 
                                                gb 
Kwa maoni na ushauri tuwasiliane kwa 0752 925038
Its me SORAMA visions C.E.O

Sunday, July 20, 2014

KIPAJI KINAWEZA KUKUTOA

Mpendwa msomaji wa blog hii leo nataka niongee na wewe kuhusu KIPAJI wengi hatuna uelewa mzuri juu ya vipaji tulivyo navyo. Sasa basi ungana na mimi ili upate kujua zaidi habari hii si ya kukosa endelea kutembelea blog hii.

Kama nilivyo kueleza hapo awali kuwa kipaji kinaweza kukutoa, na hii na maanisha kukutoa kimaisha

Je utagunduaje kama unakipaji?

Nirahisi sana , kwanza kabisa angalia kitu au vitu unavyopenda kufanya kila siku. Mfano vitu vifuatavyo

1 Kuimba

Je unapenda kuimba au napenda kusikiliza nyimbo za waimbaji mbalimbali? hutumia muda wako mwingi kwa kuimba? au kutafuta habai mbalimbali za waimbaji? kama jibu ni ndiyo basi wewe unakipaji cha uimbaji na hapo unachotakiwa kufanya ni kuanza kuchukua hatua ya kukuza kipaji chako kwa kufanya mazoezi ya kuimba na kutafuta wataalamu mbali mbali ili wakusaidie kufikia malengo yako.

      https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjyhi9pT78x3ugsYynirbR9sBXHI7GhUcY40sfToZBlCCXzNIFHQ4gUo_wwd3YQBJ6_mL7wn76jYgeKE_LdBOJmId_25Od9ejdQt5NnnA9WbawtdHt2fsFgatVzRhCnL5fKOh2uzjTESQU/s1600/Shusho2.png  

2. ubunifu wa mavazi

Kama unajua una mapenzi makubwa na masuala ya mitindo, unaweza kujikita zaidi katika sehemu hiyo na kuifanya kazi hiyo kwa bidii paka ikuletee mafanikio, kwa hili pia unaweza kujifunza kutoka kwa wanamitindo mbalimbali ambao tayari wameshabobea kwenye masuala haya ya mitindo. Kinachotakiwa ni kuchukua hatua na kufanya kazi kwa bidii iwezekanavyo, huku ukijifunza kwa waliofanikiwa

                                        

3. Michezo mbalimbali 

kama wewe unapenda michezo, basi michezo ndiyo inaweza kukutoa kimaisha na hatimaye kufanikisha malengo yako. kinachotakiwa nikufanya mazoezo na kutafuta vikundi vya kushirikiana navyo bila woga.

  

Je bado hujapata wazo katika kikitumia kipaji chako?

Itaendelea .............

 kwa maoni  na ushauri 0752 925038

Its me C.E.O SORAMA visions

Sunday, March 23, 2014

HABARI NJEMA KWA WAIMBAJI WA MUZIKI WA INJILI

Hii ni habari kutoka SORAMA visions kuwa, kwa wale waimbaji wa nyimbo za injili, wahubiri waandishi wa makala mbalimbali wanaopenda kazi zao zionekane kupitia blog hii wanaweza ukawasiliana nasi kupitia namba za simu zifuatazo +255752 925 038, au E-mail yetu souzyrajab@yahoo.com. Pia unaweza kuni inbox Facebook Souzy Rajab au unaweza nifollow twitter @Souzy Rajab. Sisi tutakutumia maswali ili kujua historia yako, malengo yako nawe utayajibu na kututumia picha yako/zako nasi tutayapublish kwenye blog yetu. kwa kufanya hivyo tutakuwa tumeshiriki kuujenga mwili wa kristo pamoja.




Its me SORAMA visions C.E.O

Saturday, January 11, 2014

HII NI IMANI YA KIPEKEE KABISA HEBU INGIA HAPA UONE!

RUMAFRICA: HII NI IMANI YA KIPEKEE KABISA: Mdada akila majani ambayo huduma hiyo wanasema ni chakula kutoka mbinguni mwe! Kuna mengi ambayo yamekuwa yakizungumzwa kuhusu huduma za ...