Friday, December 20, 2013
Saturday, December 7, 2013
PAMOJA: TAZAMA HAPA MATUKIO MBALIMBALI YANAYOENDELEA DUNIA...
PAMOJA: TAZAMA HAPA MATUKIO MBALIMBALI YANAYOENDELEA DUNIA...: Bendela ya Umoja wa Mataifa ikiwa nusu mlingoti makao makuu huko New York nchini Marekani kwa ajili ya kuomboleza kifo cha rais wa zama...
Friday, December 6, 2013
MANDELA NO MORE!
Bara la Afrika na dunia kwa ujumla viko katika maombolezo ya kifo cha aliyekuwa mpigania uhuru na Rais wa kwanza wa Afrika kusini. Kwa kweli ni huzuni kwa kila mzalendo na mpenda amani.
Bwana aliye juu awafariji wote katika kipindi hiki kigumu.
Amen!
Tutakukumbuka daima Tata Mandela
Its me C.E.O Souzy Rajab
DIFFERENT PIC OF ME
Huyu ni Souzy C.E.O wa SORAMA visions
C.E.O Souzy Rajab
Mimi mwenyewe
Katika maisha kila mtu hutamani kuwa na maisha mazuri na njia pekee ya kuyapata ni kunyenyekea miguuni pa Mungu na kufanya kazi kwa bidii.
Hebu jaribu kuishughulisha akili yako kwa kuviendeleza vipawa na karama ambazo Mungu amekupa na utaona hivyo vina kuwa ndiyo ngazi ya kupndia kwenye mafanikio yako.Jaribu leo
Mimi ni shaidi wa haya niyasemayo kwani yametimia katika maisha yangu ndiyo maana nakutia moyo na wewe rafiki yangu.
its me Souzy Rajab C.E.O SORAMA visions
Saturday, November 9, 2013
KUTANA NA JENNIFER KYAKA MWANA MKE ALIYEPIGA HATUA KIMAENDELEO
Wengi tunamfahamu kwa jina la Odama kutokana na filamu aliyoicheza inayoitwa "Odama." Jina lake halisi ni Jennifer Kyaka, ni muigizaji wa kike aliyepiga hatua kutokana na umahili wake wa uigizaji hasa pale anapoigiza kwa hisia. Jennifer kyaka baada ya kushiriki filamu nyingi zilizokuwa zikiandaliwa na mkongwe wa filamu nchini, Musa Banzi aliamua kuanzisha kampuni yake inayojishughulisha na utengenezaji wa filamu za Kitanzania ya J-Films 4 life na kufanikiwa kutengeneza filamu nyingi ambazo zimekuwa zikitoa mafundisho kwa jamii yetu ya kitanzania na Afrika kwa ujumla. Kwa ubunifu wake ameweza kuajili vijana na kusaidia kuongeza soko la ajira nchini.
Hizi ni baadhi ya pic zake
hizi ni baadhi ya picha za Odama
Rafiki yangu hata wewe unaweza kutimiza ndoto zako kama alivyo yanya dada huyu kwa kujaribu kuthubutu.
hii ni changamoto kwa wanawake tusitegemee sana wanaume bali tuwe wabunifu ili kutimiza ndoto zetu
kila la kheri dada Odama!
picha kwa hisani ya Odama fb page.
imeandaliwa na mimi Souzy Rajab, C.E.O SORAMA visions
Wednesday, October 30, 2013
JE UNAPENDA KUIMBA NA HUJUI PAKUANZIA? soma hapa.
SORAMA visions inawatangazia wale wote wanaopenda kuimba lakini hawafahamu waanzie wapi, sisi kama SORAMA visions, tutakusaidia kupata nyimbo kukutafutia studio nzuri, kuisimamia kazi yako paka ikamilike. Yaani mwanzo mpaka mwisho. kwa wanao hitaji wasiliana nasi kwa anuani zifuatazo:
0752 925038 au 0653 062990. barua pepe souzyrajab@yahoo.com.
"Tunayaweza mambo yote katika yeye atutiaye nguvu"
Friday, September 13, 2013
UBUNIFU UNAVYOWEZA KUWA AJIRA YA KUDUMU. Sehemu ya 2
Sehemu ya kwanza niliianza mada hii na kuelezea jinsi ambavyo ubunifu unavyoweza kugeuka na kuwa ajira ya kudumu hasa mtu akitumia fursa za maendeleo alizo nazo
leo nitaendelea na sehemu ya pili ya mada hii
MAMBO UNAYOWEZA KUFANYA NA YAKABADILISHA MAISHA YAKO
2. Ubunifu wa utengenezaji wa baitiki
hii ni fursa ambayo imetumiwa na wanawake wengi wanaopenda maendeleo. Wanawake wengi wameingia katika kujifunza utengenezaji wa batiki na kujikuta wamepata mafanikio makubwa na kubadilisha maisha yao. Vile vile wewe kama mama, baba, kijana au binti unaweza kutumia fursa hii na kujiwekea mazingira mazuri ya kibiashara.
Ushauri wangu ni kwamba kama unapenda kujifunza utengenezaji wa batiki penda kuhudhuria semina mbalimbali zinazotoa mafundisho hayo ya utengenezaji wa batiki, vile vile tafuta marafiki wenye ujuzi huo na pia soma vitabu, vipeperushi na mitandao kama ukiweza ili kuongeza maarifa zaidi
MFANO WA BATIKI
Huyu ndiye dada yangu wa ukweli Ruth Nixon aliye nihamasisha niwaletee mada hii kutokana na uchapakazi wake, na ndiye aliye tengeneza batiki hizo hapo juu!
ukimuhitaji akufundishe wasiliana naye
0769 063837 au
facebook Ruth Nixon
Leo naishia hapo tukutane tena wakati mwingine
Kwa habari za kupendeza endelela kutembelea blog yetu
Its me Souzy Rajab, C.E.O SORAMA visions
Tuesday, September 3, 2013
MJUE MTUMISHI WA MUNGU ISAYA PAUL MWENYE NDOTO ZA KUIHUBIRI INJILI KIMATAIFA K
Najua hili litakuwa ni jina geni masikioni mwa wasomaji wengi wa blog hii. Lakini ni kwamba, Huyu ni mtumishi wa Mungu anayetumika katika kuihubiri injili ya Kristo kwa kufungua roho zikizofungwa na mizimu na maagano yaliyowafunga watu wengi. Mtumishi huyu anaye chukua shahada yake ya kwanza ya Elimu (BA-ED) katika chuo kikuu cha Tumaimi tawi la Dar es Salaam, amefanyika baraka kwa wanachuo wa chuo hicho na hasa baada ya kufanikisha kuanzishwa kwa tawi la (USCF) chuoni hapo. Amekuwa mstari wa mbele katita kuihubiri injili ya kweli ya Kristo na kuwaleta watu wengi kwa Yesu. Zaidi ya hayo ni kwamba mtumishi huyu anandoto za kuwa muhubiri wa kimataifa, na ameanza program ya kutengeneza CD zake za mahubiri ili kuwafikia watu wengi zaidi.
KILA LA KHERI MTUMISHI
Mttumishi wa Mungu Isaya Paul.
Its me C.E.O SORAMA visions
Monday, September 2, 2013
ZANELE FROM SOUTH AFRICA.
Nimevutiwa na mshono wake! nani anaweza kunishonea kama huu? Tuwasiliane humu humu au fb.
Love you all my friends, Its me C.E.O SORAMA visions!
PIC OF THE DAY.
MR AND MRS MBATHA
Watumishi wa Mungu Mr. Nqubeko Mbatha na Mkewe Ntokozo Mbambo. Wote wanamtumikia Mungu huko South Africa kwa njia ya uimbaji.
Wamejaaliwa watoto wakike wawili.
Wote wametokea katika kundi kubwa la Muziki wa Injili la Joyous Celebration
Kabla ya kuwa waimbaji wa kujitegemea.
Saturday, August 31, 2013
UBUNIFU UNAVYOWEZA KUWA AJIRA YA KUDUMU:Sehemu ya 1
Leo nakuja na mada ambayo kwa namna moja au nyinginne inaweza kusaidia au kuchangia kwa kiasi fulani kukujengea wazo jipya katika akili yako. kwa kawaida watu wengi hasa vijana huwa wanaomba Mungu awasaidie wapate ajira baada ya kumaliza masomo yao ya ngazi fulani. Ni kweli, lakini lengo hasa la elimu tunayoipata mashuleni nizaidi ya ajira tunazotegemea kuajiriwa sehemu katika maofisi.
kuna kitu kinaitwa kujiajiri, na kujiajili huku kunaweza kutiwa changamoto na elimu tuliyo ipata mashuleni, yaani elimu yako ikawa ndiyo msingi wa ajira yako na ya watu wengine Yaani wewe ukasaidia watu wengine kupata ajira ndani ya ajira yako.
Mbali na elimu uliyoipata shuleni lakini pia kuna vipaji ambavyo kwavyo unaweza kuvitumia na vika yabadilisha maisha yako na ya watu wengine.
MAMBO UNAYOWEZA KUYAFANYA NA YAKABADILISHA MAISHA YAKO
1 ubunifu wa kuandaandaa keki za harusi
Unaweza ukatumia fursa hii na ukajikuta unapata mafanikio makubwa, hii ni kutokana na kuwa harusi, birthday na shuguli nyingine zinazo endana na hizo kufanyika mara kwa mara. Unaweza kuwa unatengeneza keki na hatimaye kujifatia faida kubwa, na hatimaye kuja kumiliki kampuni yako ya maswala hayo
MIFANO YA KEKI
Hii ni sehemu ya kwanza ya kuzionesha fursa za mafanikio kwa kutumia ubunifu kutokana na elimu tulizozipata mshuleni, nakuepuka kukaa tukisubiri kuajiriwa na kuchelewesha maendeleo yetu sisi wenyewe
Fulsa ziko nyingi ila leo tumeanza na hii ya utengenezaji wa keti za sherehe mbali mbali
Tutaendelea na mada hii wiki ijayo
Nahitaji maoni yako ili kuboresha huduma zetu
ANGALIZO
Ili uendelee kufanikiwa katika shughuli hii anayo taka kuianzisha lazama uwe mwaminifu katika mambo yafuatayo.
1. uaminifu wa kutoa fungu la kumi (Zaka)
2. kusaidia wasiojiweza
3 kusoma neno
4. kufunga na kuombea kazi yako
5. kufanya kazi kwa bidii
6. kupangilia matumizi ya fedha unayoipato
7. Kuweka akiba
8. Kuepuka kukatishwa tamaaa.
"Twayaweza mambo yote katika yeye atutiaye nguvu"
Its me Souzy Rajab
C.E.O SORAMA visions
Saturday, August 17, 2013
BISHOP KAMETA IN USA!
This is what happened when Bishop Kameta from Amani christian Centre (ACC) Tabata, visit USA
We Love our spiritual father and we pray four you!
From left, P Mitimingi and our father Bishop L Kameta.
In re fleshing time
In church.Wow, so big!
Happiness and Joy in Jesus!
Lunch Time!
God bless you all, enjoy it and gain Knowledge.
Its me C.E.O
SORAMA visions
We Love our spiritual father and we pray four you!
From left, P Mitimingi and our father Bishop L Kameta.
In re fleshing time
In church.Wow, so big!
Happiness and Joy in Jesus!
Lunch Time!
God bless you all, enjoy it and gain Knowledge.
Its me C.E.O
SORAMA visions
Saturday, July 27, 2013
BILA YESU SIWEZI!
Eeeeeeee Yesu kristo Bwana na mokozi wa maisha yangu, pekee waya jua maissha yangu. Naomba uibariki huduma yangu kwani bila wewe kunitia nguvu siwezi. nachojua ni kwamba, wewe ndio mwanzilishi wa maono haya yaliyomo ndani ya moyo wangu na wewe ndiyo utakae yatimiliza! Amen
Friday, June 21, 2013
HATIMAYE NQUBEKO MBATHA AREKODI AUDIO NA DVD YAKE TAR 15TH JUNE
Siku za nyuma nili post juu ya habari ya aliye kuwa Music Director wa kundi kubwa la muziki wa injili Afrika Joyous Celebration Mr Nqubeko Mbatha alikuwa akijiandaa kwa kufanya live recording ya Audio na DVD yake mpya. Hatimaye recoding hiyo ilifanyika kama ilivyo pangwa.
HIZI NI BAADHI YA PICHA KATIKA TUKIO HILO
Hawa ni baadhi ya waimbaji wa kundi la Joyous wakimpa saport siku ya tukio
Mahalia Buchanan, Sipho Mangere na wenzao wakienda sawa.
Mr Director, Nqubeko Mbatha akiendeleza Worship!
Kazi ikiendelea
Kwa mbali jukwaa na wahudhuriaji wakifuatilia kwa umakini kila kinachoendelea.
NI HAYO TU, TUKUTANE TENA SIKU NYINGINEEEEEEEEE !mm
Its me ,
CEO SORAMA visions!
HIZI NI BAADHI YA PICHA KATIKA TUKIO HILO
Hawa ni baadhi ya waimbaji wa kundi la Joyous wakimpa saport siku ya tukio
Mahalia Buchanan, Sipho Mangere na wenzao wakienda sawa.
Mr Director, Nqubeko Mbatha akiendeleza Worship!
Kazi ikiendelea
Kwa mbali jukwaa na wahudhuriaji wakifuatilia kwa umakini kila kinachoendelea.
NI HAYO TU, TUKUTANE TENA SIKU NYINGINEEEEEEEEE !mm
Its me ,
CEO SORAMA visions!
Friday, June 7, 2013
WALE WAIMBAJI WA KIKE NINAOWAKUBALI WAMEDHIHIRISHA UWEZO WAO
Siku za mwanzoni kabisa nili post title iliyoonesha kati ya waimbaji wa injili ninao wakubali ambao ni Ntokozo Mbambo wa Mbatha wa South Africa, Christina Shusho na dada yangu Martha Mwaipaja wa John, hao wote ni kutoka Tanzania. Ashukuriwe Mungu wote hao wameingia katika kinyang'anyiro cha kuwania tuzo zinazotolewa na Africa Gospel Music Award katika makundi tofauti tofauti huku Tanzania ikiwakilishwa na waimbaji wawili tu ambao ni Christina Shusho na Martha Mwaipaja
Huyu ndiye ntokozo Mbambo wa Mbatha.
Hapa ni siku ya utoaji tuzo za South Africa Music Award (SAMA) ambapo Ntokozo
aliibuka na tuzo!
Christina Shusho Mwaka jana pia aliwania tuzo hizo za Africa Gospel Music Award,
ila hakushinda kwa sababu ya upungufu wa kura
Martha Mwaipaja naye anaiwakilisha Tanzania kwenye tuzo hizo.
WITO
Tunaomba Watanzania tuwapigie kura ili waibuke na ushindi
kwa maelezo zaidi tembelea website ya Africa Gospel Music Award
Posted by The Blogger Lady Souzy Rajab CEO at SORAMA visions
Huyu ndiye ntokozo Mbambo wa Mbatha.
Hapa ni siku ya utoaji tuzo za South Africa Music Award (SAMA) ambapo Ntokozo
aliibuka na tuzo!
Christina Shusho Mwaka jana pia aliwania tuzo hizo za Africa Gospel Music Award,
ila hakushinda kwa sababu ya upungufu wa kura
Martha Mwaipaja naye anaiwakilisha Tanzania kwenye tuzo hizo.
WITO
Tunaomba Watanzania tuwapigie kura ili waibuke na ushindi
kwa maelezo zaidi tembelea website ya Africa Gospel Music Award
Posted by The Blogger Lady Souzy Rajab CEO at SORAMA visions
Monday, May 20, 2013
BAADA YA MUDA WA MASOMO NIKAAMUA KUCHUKUA PIC KWA KUMBU KUMBU!
Hapa ni chuoni kwetu Tumaini University Dar!
CEO wa SORAMA visions! nikiwa nimetokelezea
nikiwa na my friend Veronica or Beauty
Another day!!!!!!!!
Ilimradi tu kufurahi
Picha kwa hisani ya Jasper Ikula, Tumaini University Dar
Mpigie 0766 383988
CEO wa SORAMA visions! nikiwa nimetokelezea
nikiwa na my friend Veronica or Beauty
Another day!!!!!!!!
Ilimradi tu kufurahi
Picha kwa hisani ya Jasper Ikula, Tumaini University Dar
Mpigie 0766 383988
Subscribe to:
Posts (Atom)