Monday, May 20, 2013

BAADA YA MUDA WA MASOMO NIKAAMUA KUCHUKUA PIC KWA KUMBU KUMBU!

Hapa ni chuoni kwetu Tumaini University Dar!
Photo
               CEO wa SORAMA visions! nikiwa nimetokelezea

                                      Photo
                     nikiwa na my friend Veronica or Beauty           

Photo   
                 Another day!!!!!!!!
        Ilimradi tu kufurahi

Picha kwa hisani ya Jasper Ikula, Tumaini University Dar
Mpigie 0766 383988

Thursday, May 9, 2013

MAHALIA BUCHANAN AONDOKA JOYOUS CELEBRATION?

Kumekuwa kuna tetesi kuwa muimbaji wa kundi kubwa la Music nchini Afrika Kusini Joyous Celeblation (JC) Mahalia Buchanan, ameondoka ndani ya kundi hilo, kwa sababu ambazo bado hazijajulikana. Ifahamike kuwa Mahalia Buchanani amekuepo kwenye kundi hilo kwa muda mrefu, ambapo alianza kuonekana kwenye toleo la 12 alipoimba wimbo wa Holy, toleo la 14 wimbo wa I'm yours, toleo la 15 part 1 wimbo wa I will praise Him, na toleo la 16 part 2 wimbo wa Lift up your eyes wimbo ambao ulimuweka kwenye kiwango cha juu katika uimbaji.



Hapa akiimba wimbo wa "Lift up your eyes" ndani ya JC 16 part 2

Kuna tetesi kuwa ingawa Mahalia alishiriki katika kuimba ndani ya toleo la Audio la JC 17, inasemekana kuwa hakuweza kuwa wimbo wake haukuingizwa katika kurekodi video yake kwa tetesi kwamba alikuwa amekwisha achana na kundi hilo.

Ukweli unashindwa kujulikana kwani paka sasa Video ya  JC toleo la 17 bado halijaanza kupatikana nchini. Pindi litakapo patikana ukweli utajulikana.

Hizi ni baadhi ya picha za mdada huyu ninaye mkubali!
            ( "And I wish to be like her")








   
Mahalia katika pozi saaaaafiiiiiiiiiiiiii! "I like it"

 

                                              Akiwa na Members wa Joyous               


              Mahalia akimtukuza Mungu!

  
                 
   Hii ni kwa wapenzi wote wa JC  kutambua kinachoendelea kuhusu muimbaji huyu
   Mwenye mashabiki wengi ndani ya kundi hiko!
 Imeandaliwa na Souzy Rajab ( "The blogger lady" )         

Wednesday, May 8, 2013

BAADA YA TUKIO LILE LA KULIPULIWA KWA KANISA ARUSHA, WAZIRI MKUU ATEMBELEA KANISA HILO

Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, alitembelea kanisa lililokumbwa na mkasa mgumu wa kutupiwa bomu na watu wadio fahamika.

Na hizi ni picha za Wazili mkuu akiongea wa watu, pamoja na baadhi ya viongozi wa dini Jijini Arusha.


 

                               Hapa ni sehemu bomu lilipodondoshwa.

          
                              Waziri Mkuu akiongea na watu waliokuwepo eneo hilo.

 

               Paloko wa kanisa katoliki la Olasiti Peddy Casterino akiomba


              
                     Waziri Mkuu akiongea na Paloko



           Hapa akimpa pole Askofu wa Jimbo la Arusha, Mashamu Josephat Lebulu



                   Akimpa pole Balozi wa Vatican nchini, Askofu mkuu Francisco Montecillo

 

                  Hapa akitembelea wagonjwa walio athiliwa na tukio hilo

Tuendelee kuwaombea majeruhi wapone haraka, pia tusaidiane kuitunza amani ya Tanzania
Picha kwa hisani ya Ofisi ya Waziri Mkuu.
 


Monday, May 6, 2013

NQUBEKO MBATHA WA JOYOUS CELEBRATION AJIANDAA NA LIVE RECODING YA AUDIO NA VIDEO

Aliyekuwa Music director wa kundi kubwa la Musiki wa injili kutoka nchini Afrika Kusini Nqubeko Mbatha, maalufu kwa wimbo wa "FOREVER I WILL WORSHIP" anajiandaa na live recording ambapo ata rekodi nyimbo nyingi zikiwemo mpya na zile za zamani.

zifuatazo ni baadhi ya picha za Nqubeko
Photo

Muonekano wa tangazo la Nqubeko, event itakayo fanyika 15th June 2013
Appearance of advertise of Nqubeko event which for power of God can take place on 15th June
God bless U Nqubeko your people from Tanzania (East Africa) we love U and we play for you!
   Photo  
Ha huu ni ukumbi utakaotumika siku ya event (na sisi Tanzania tutafikia huku siku moja)
here is where the event can take place
Photo: UNITED TOUR 2012...

with his wife Mrs Ntokozo Mbatha
Stay tune  you will know many thing which from this good people and what are going on to their event
God bless you!

Saturday, May 4, 2013

UNAKARIBISHWA KWENYE MKESHA WA KUSIFU, KUABUDU NA MAOMBI KATIKA CHUO KIKUU CHA TUMAINI DAR - ES - SALAAM KILICHOPO MWENGE COCA-COLA ROAD. NA UTAMUONA BWANA SIKU HIYO

HILI NI TANGAZO LA MKESHA WENYENYE, panga kuhudhulia. Waimbaji mbalimbali watakuwepo na utabarikiwa.

HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA KWENYE MKESHA WA AFLEWO USIKU WA JANA BCIC MBEZI BEACH

Mkesha wa AFLEWO ambao hufanyika mara moja kwa mwaka kwa lengo la kumifu na kumwabudu Mungu kwa pamoja, jana ulifanyika katika ukumbi wa kanisa la BCIC Mbezi Beach linaloongozwa na mtumishi wa Mungu Askofu Silvester Gamanywa.Mkesha huo ulifana baada ya Mungu kushuka na kududumia watu wake.

 HAYA NI BAADHI YA MATUKIO JINSI ILIVYIKUWA










Wadada wa AFLEWO wakimchezea bwana


Baadhi ya waimbaji


Wakiendelea kumsifu bwana!


Mtumishi wamungu Tumaini akimsifu Jehova!


Umati ukifuatilia matulio

Tunamshukuru Mungu kwa kuonekana usiku wa jana
Picha kwa hisani ya Sam Sasali "The blogger"

Wednesday, May 1, 2013

KATI YA WAIMBAJI WA KIKE WA INJILI NINAO WAKUBALI

NTOKOZO MBAMBO WA SOUTH AFRICA






   
Cover ya Album ya pili ya Ntokozo ijulikanavyo kama FILLED

Ntokozo akiimba wimbo wa Healer ndani ya Joyous cerebration 15 part 2
wimbo ambao umempandisha katika kiwango cha muziki kimataifa!
                                                                                                                                                                                                      

Akiwa na Mumewe aliye kuwa Music director wa kundi la Joyous celebration
kabla ya kuachana na kundi hilo.

CHRISTINA SHUSHO KUTOKA TANZANIA
  
Christina Shusho katika pozi
 
Hapa akimtukuza Jehova.

MARTHA MWAIPAJA KUTOKA TANZANIA
 
Martha katika Pozi

Hapa akimwimbia Bwana

Hao ni baadhi tu ya waimbaji ambao ninawakubali, ingawa wako wengi
wanao nigusa katika nyimbo zao, na ninaojifunza kwao pia kuhusu huduma hii
ya uimbaji..

JIPATIE AUDIO CD KUTOKA KWA SOUZY RAJAB



Wappenzi wa muziki wa injli, mnakaribishwa kuninua Audio CD ya muziki wa injili iliyoimbwa na Souzy Rajab. Hakikisha una jipatia CD hiyo kwani itakuhudumia wewe  na kuinua maisha yako ya kiroho. Kwa kufanya hivyo utwezesha huduma yangu kusonga mbele na Bwana wangu Yesu ambaye ni mwanzilishi wa huduma hii atakubariki!


HUYU NDIYO SOUZY RAJAB MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI TANZANIA