Friday, December 20, 2013

NEWS READ!

Kundi kubwa la Music wa injili Afrika Kusini limepanda tena jukwaani kurekodi album yao ya 18.

We waiting for this.


Photo: Lights, Stage Set-up in progress - CityHill Church. Hill Crest #DAY1 #JoyousCelebration 18  

Ukumbi ulio tumika


Photo: Sabu #Sound Check #JoyousCelebration18 @sabusatsha 

Sabu akiwa kazini 

Photo: Doors now Open! It's gon' be a lovely night!! #JoyousCelebration18 

Watu wakiingia kushuhudia tukio 

Photo: Siyanda kicks off with some Laugh Out Loud comedy! #JoyousCelebration18 #DAY1 

Stage kwa karibu 

Photo: JOYOUS CELEBRATION 18 - Now on stage LIVE at CITY HILL CHURCH Hillcrest  

Wakiwa kazini 

Photo: Nhlanhla Zoo and Puleng March on Duo! #JoyousCelebration18 

Hlahlahla & Puleng kazini 

 Photo: Nomandla on stage with the Joyous celebration choir JOYOUSCELEBRATION18

Nomandla on stage

Hiki ndicho kinacho endelea huko SA kuhusu kundi hili.

Endelea kuwa nami kujua kinacho endelea

Its me C.E.O SORAMA visions

Saturday, December 7, 2013

PAMOJA: TAZAMA HAPA MATUKIO MBALIMBALI YANAYOENDELEA DUNIA...

PAMOJA: TAZAMA HAPA MATUKIO MBALIMBALI YANAYOENDELEA DUNIA...:  Bendela ya Umoja wa Mataifa ikiwa nusu mlingoti makao makuu huko New York nchini Marekani  kwa ajili ya kuomboleza kifo cha rais wa zama...

Friday, December 6, 2013

MANDELA NO MORE!

Bara la Afrika na dunia kwa ujumla viko katika maombolezo ya kifo cha aliyekuwa mpigania uhuru na Rais wa kwanza wa Afrika kusini. Kwa kweli ni huzuni kwa kila mzalendo na mpenda amani.

Bwana aliye juu awafariji wote katika kipindi hiki kigumu.

Amen!


                                

Tutakukumbuka daima Tata Mandela 

Its me C.E.O Souzy Rajab

DIFFERENT PIC OF ME

              Huyu ni Souzy C.E.O wa SORAMA visions


                 Photo: Bila Yesu siwezi

                                          C.E.O Souzy Rajab


                      Photo: Me! 

                      Photo: Me, I and   my self

                                             Mimi mwenyewe



                     Photo: Asante Yesu

Katika maisha kila mtu hutamani kuwa na maisha mazuri na njia pekee ya kuyapata ni kunyenyekea miguuni pa Mungu na kufanya kazi kwa bidii.

Hebu jaribu kuishughulisha akili yako kwa kuviendeleza vipawa na karama ambazo Mungu amekupa na utaona hivyo vina kuwa ndiyo ngazi ya kupndia kwenye mafanikio yako.Jaribu leo 

Mimi ni shaidi wa haya niyasemayo kwani yametimia katika maisha yangu ndiyo maana nakutia moyo na wewe rafiki yangu.

its me Souzy Rajab C.E.O SORAMA visions